Home > Terms > Swahili (SW) > Dream Timu

Dream Timu

(msemo kwenye mpira wa kikapu) ni jina waliopachikwa timu ya Marekani ambayo ilishinda medali ya dhahabu wakati wa mashindano ya Olimpiki mwaka 1992 huko Barcelona; ilikuwa ni mara ya kwanza kwa wachezaji wa kulipwa kuruhusiwa kuwakilisha nchi yao; wachezaji waliokuwemo kwenye timu hiyo walikuwa Charles Barkley, Larry Bird, Clyde Drexler, Patrick Ewing, Magic Johnson, Michael Jordan, Christian Laettner, Karl Malone, Chris Mullin, Scottie Pippen, David Robinson na John Stockton. Katika mashindano ya Olimpiki ya mwaka 1996, timu ya Marekani ilijulikana kama Dream Timu II na ile ya mwaka 2000, Dream Timu III.

0
  • Part of Speech:
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Sports
  • Category: Basketball
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 12

    Followers

Industry/Domain: Internet Category: Social media

Mjomba Cat

cat cuddly kwa jina la Hatch-chan kwamba akawa kimataifa maarufu na blog yake mwenyewe na smiles kipekee. kupotea akageuka Mashuhuri paka alikuwa na ...

Contributor

Featured blossaries

Top Restaurants in Lahore

Category: Food   1 9 Terms

Indonesian Food

Category: Food   2 11 Terms