Home > Terms > Swahili (SW) > Pasaka

Pasaka

Tamasha la wakristo ya kila mwaka katika maadhimisho ya ufufuo wa Yesu Kristo, husherehekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi kamili ya kwanza baada ya ikimtia, kama ilivyohesabiwa kulingana na meza iliyoko katika makanisa ya Magharibi kwa kalenda ya Gregory na katika makanisa ya Orthodox kwenye kalenda ya Julian.

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Festivals
  • Category: Easter
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Jonah Ondieki
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Culture Category: Popular culture

Mpendwa Abby

Mpendwa Abby ni jina la sehemu ya ushauri kwenye gazeti iliyoanzishwa mwaka 1956 na Pauline Philips chini ya jina Abigail Van Buren Sehemu hii iliweza ...

Featured blossaries

Avengers Characters

Category: Other   1 8 Terms

South African Politicians

Category: Politics   2 4 Terms

Browers Terms By Category