Home > Blossary: Blogs
Different types of blogs and bloggers - which are you?

Category: Literature

71 Terms

Created by: Robert Derbyshire

Number of Blossarys: 4

My Terms
Collected Terms

Blogi inayozingatia kwa utetezi wa kisiasa (kwa kawaida)kupitia kwa yaliyomo ya wana harakati.

Domain: Internet; Category: Social media

Blogi inayokusanya taarifa kutoka kwa kundi la blogi zingine, ikiwasilisha taarifa inayofurahisha zaidi kwa aina iliyofupishwa.

Domain: Internet; Category: Social media

Kusihi kupitia blogi ya mtu, kwa ajili ya taarifa au pesa. Neno linalohusiana ni 'blegger'

Domain: Internet; Category: Social media

blogi ya kisheria, iliyoandikwa na mawakili au wale wanaopendezwa na maswala ya kisheria.

Domain: Internet; Category: Social media

Blogi zinazoangalia nje kijumla zinazoendeshwa na idara za uuzaji wa shirika, kuwasiliana na wateja na wana rika , lakini hizi pia zinaweza kuwa blogi zilizoandikwa kuhusu maswala ya kibiashara

Domain: Internet; Category: Social media

Mwana blogi aliyekithiri (kwa itikadi yoyote ile),kama inavyorejelewa kihatarishi na wateja kwa itikadi zinazopinga.

Domain: Internet; Category: Social media

Kupinga kwa nguvu wazo la kuandika ingizo la blogi siku hiyo.

Domain: Internet; Category: Social media

Member comments


( You can type up to 200 characters )

Post  
Other Literature Blossarys

Re-criada por Neil Gaiman em 1989, a premiada ...

Category: Literature

By: AraboniNatalia

O glossário apresenta termos relacionados a ...

Category: Literature

By: TaynaSiecola

Nagelneu Laptop-Batterie, Laptop Akku online shop ...

Category: Literature

By: bildschirm

John Grisham's Top 10 Books for your book ...

Category: Literature

By: weavingthoughts